MPANDA
Waendesha pikipiki za miguu mitatu
maarufu kama bajaji wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamewataka viongozi wao
kupunguza tozo za usajili wa vituo vya kupaki bajaji
Wameyasema hayo walipozungumza
na mpanda radio kwanyakati tofauti walipokuwa katika ofisiza mamlaka ya
udhibiti wa usafiri wanchi kavu na majini Sumatra ambapo walikwenda kwa lengo
la kujipatia namba za usajili wamaeneo wanayopaswa kupaki bajaji hizo.
Ofisa mfawidhiwa Sumatra
MkoawaKatavi bwana Amani Mwakalebela amesema kwamba tozo hizo haziko chini ya
Sumatra
Chanzo:Furaha kimondo
No comments:
Post a Comment