NSIMBO
Serikali
imetenga shilingi bilioni 1.5 kwa kila halmashauri nchini ili kujenga hospitali
za wilaya
Hayo
yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la Nsimbo (CCM) Richard mbogo wakati akizungumza
na wananchi wa kijiji cha Kanoge kilichopo halmashauri ya nsimbo mkoani katavi
Mbogo
amesema eneo la kujenga hospitali hiyo ya wilaya bado halijatengwa rasmi lakini
kuna uwezekano wa kujengwa yalipo makao makuu ya Halmashauri ya Nsimbo
Wiki
iliyopita mbunge huyo alikabidhi gari la kubebea wagonjwa katika zahanati ya
Kata ya Kanoge kama mojawapo ya ahadi zake kwa wananchi wa kata hiyo
No comments:
Post a Comment