Wakazi na wakulima wa
eneo la Mpanda Hoteli Kata ya Manispaa ya
Mpanda Mkoani Katavi wameiomba mamalaka ya maliasili kuondoa viboko walio
jirani na makaz yao kutokana na kutishia maisha
Wakizungumza na Mpanda radio wananchi hao wamesema kuwa wanahofia
zaidi maisha yao baada ya viboko hao kuvamia
eneo la mto Mpanda
Kwa upande wake Mkurugenzi wa manispaa ya Mpanda maiko
znyungu ameahidi kulishulikia suala hilo kwa kuwasiliana na mamalaka ya
maliasili
Kuzagaa kwa wanyama hao hali imetajwa kuwa ni kuendelea
kunyesha kwa mvua za masika huku wanyama
hao wengine wakitajwa kusombwa na maji
No comments:
Post a Comment