Wananchi wa Manispaa ya
Mpanda Mkoani Katavi wamesema hali ya
kuzoeana katika ndoa ndio chanzo cha kuibuka kwa migogoro katika familia zao.
Wakizungumza na Mpanda Radio kwa nyakati tofauti wamesema kumekuwa na matatizo
mbalimbali katika ndoa hali
inayosababisha migogoro katika familia ambayo inarudisha nyuma maendeleo kwa
jumla
Aidha wamesema migogoro hiyo inaleta
maumivu pande zote kwani hakuna anaye msikiliza mwezi wake
hali sababisha familia kutengana.
Katika jamii nyingi za kitanzania zimekuwa zikikabiliwa na changamoto ya
migogoro ya kifamilia kutokana na sababau mbali mbali katika jamii.
No comments:
Post a Comment