Vijana wametakiwa
kuacha aibu na kuogopa kuchangamkia fursa mbalimbali za kibiashara pale
zinapojitokeza
Wakizungumza na Mpanda Radio baadhi ya vijana wanaojishughulisha na biashara ndogo ndogo mjini Mpanda
wamesema hofu,kutojiamini na uoga ni baadhi ya sababu zinazowafanya vijana
kujiweka nyuma
Kwa upande wake Bi
Maimuna Omari ambaye ni msimamizi wa saluni ya kike mjini Mpanda amesema vijana
wanatakiwa kujitengezea mazingira ya kuaminika katika jamii hivyo kuwa rahisi
wao kukopesheka hata kwenye taasisi mbalimbali za kifedha
Vijana wanafikia zaidi
ya nusu ya idadi ya watu nchini hivyo kama wataamua kuwekeza katika biashara
mbalimbali kutainua pato la taifa na mtu mmoja mmoja
No comments:
Post a Comment