Wananchi katika Halmashauri
ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi
wamevipongeza vyombo vya Habari katika kukuza uchumi na maendeleo kwa ujumla.
Wakizungumza na Mpanda
Redio wamesema kuwa kumekuwepo na
maendeleo makubwa hususani katika
kutatua kero na mambo mbali mbali ya kijamii.
Waandishi wa habari
nchini wanatakiwa kutumia taaluma yao katika kuhakikisha wanaleta maendeleo
bila kujali itikadi zozote.
Maadhimisho ya vyombo
vya habari duniani kila mwaka hufanyika kila
ifikapo tarehe 3 Mwezi wa Tano
Chanzo:John
John
No comments:
Post a Comment