Serikali leo
imezindua rasmi zoezi la uhakiki wa mashirika yote yasiyo ya serikali (NGO)
nchini.
Akizungumza na
waandishi wa habari mjini Dodoma mapema leo asubuhi, Katibu Mkuu wa Wizara ya
Afya, Sihaba Mkinga amesema zoezi hilo linaanza tarehe 21 august hadi Septemba
4, mwaka huu.
Ameongeza kuwa, baada
ya hapo Serikali itachukua hatua Kali dhidi ya NGO zote zitakazobainika kufanya
kazi bila usajili.
No comments:
Post a Comment