Uhispania
inatarajiwa kuanza kuahirisha kujitenga kwa Catalonia siku ya Jumamosi
baada ya viongozi wake kutishia kutangaza uhuru.
Kiongozi wa Catalonia Carles Puigdemont mapema alisema kuwa bunge la eneo hilo litapiga kura ya kujitenga iwapo Uhispania itaendeleza ukandamizaji.
Wengine wanahofia kuwa hatua hiyo inaweza kuzua ghasia.
@habari na bbc swahil
No comments:
Post a Comment