MLELE
Wananchi na jamii ya wakazi wakazi wa inyonga kwa ujumla wameombwa kutumia
vyandarua kwa usahihi katika kaya zao ili kuepukana na ugojwa wa malaria katika
maeneo yao.
Wito huo umetoleawa na Jonh Aloyce Mkunda mratibu
mkuu wa shirika la PSI Tanzania iliyofanyika katika mkutano uliofanyika katika viwanja
vya shule ya msingi inyonga.
Shirika la PSI Tanzania limekamilisha utoaji wa elimu ya matumizi sahihi ya
vyandarua katika wilaya ya mlele ambapo wanacnhi wamepata fursa ya kuulza
maswali kuhusu matumizi sahihi ya vyandalua
Source:
Mpanda Radio
No comments:
Post a Comment