NSIMBO
Monday, 4 December 2017
kituo cha Mpanda Radio Chapongezwa kwa kusaidia kupatikana kwa watoto wawili waliokuwa wamepotea.
Baadhi
ya wakazi wa Kata ya Katumba Halmashauri ya wilaya ya Nsimbo Mkoani
Katavi,wamekipongeza kituo cha Mpanda Radio kwa kusaidia juhudi za kupatikana
kwa watoto wawili waliokuwa wamepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa
mjibu wa taarifa zilizokuwa zimetolewa na viongozi wa Kijiji cha Mnyaki,watoto
hao walikuwa wamepotea wakati wakiwinda ndege porini kwa manati karibu wiki
mbili zilizopita.
Kumekuwa
na matukio ya upotevu wa watoto kata ya Katumba ambapo kwa mjibu wa viongozi wa
serikali ya Kijiji cha Mnyaki pamoja na wananchi,mtoto mmoja aliyepotea miaka
mitano iliyopita hakupatikana mpaka sasa.
Source: Issack Gerald
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
Serikali ya mtaa wa Kampuni Kata ya Misunkumilo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imewaomba wataalamu wa maji Manispaa ya Mpanda kuchungu...
-
TABORA Wananchi wa kijiji cha makibo kata ya Nyahua wilayani sikonge mkoani Tabora wamelalamikia ujenzi wa madaraja mabovu ya baraba...

No comments:
Post a Comment