Monday, 4 December 2017
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kutowaacha nyuma watu wenye ulemavu katika nyanja zote za maendeleo.
Maadhimisho ambayo yamefanyika kitaifa mkoani
Simiyu na kushindikana kufanyika kimkoa mkoani Katavi yanabeba kaulimbiyu
inayosema ’Badilika tunapoelekea jamii Jumuishi na imara kwa watu
wote’’.
Source: Zanzibar24
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
Serikali ya mtaa wa Kampuni Kata ya Misunkumilo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imewaomba wataalamu wa maji Manispaa ya Mpanda kuchungu...
-
TABORA Wananchi wa kijiji cha makibo kata ya Nyahua wilayani sikonge mkoani Tabora wamelalamikia ujenzi wa madaraja mabovu ya baraba...

No comments:
Post a Comment