Wednesday, 10 January 2018
Takribani kaya 122 katika kata ya Mpanda Hotel Mkoani Katavi zimenufaika na fedha za mradi wa Tasaf kwa miaka minne iliyopita.
MPANDA
Takribani
kaya 122 katika kata
ya Mpanda Hotel
Mkoani Katavi zimenufaika
na fedha za
mradi wa Tasaf kwa miaka minne iliyopita.
Aidha
wameishukuru Serikali kwa kuwajali wananchi wa kipato cha chini kuwapatia pesa hizo ili kuondokana na hali ya
umaskini
Hata hivyo wameiomba serikali kuwaongezea kiasi
cha fedha kulingana na mahitaji ya kila siku .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...

No comments:
Post a Comment