Soko la Mpanda Hotel |
MPANDA.
Mwenyekiti
wa soko la Mpanda hoteli halimashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi Bwana Boniphace Gabliel Mganyasi
Amepinga agizo la halmashauri hiyo kuuhamishia mnada wa jumapili katika eneo la
misunkumilo.
Akizungumza
na mpanda redio amesema suala la serikali kuuhamishia mnada huo katika eneo la
hilo kwa sababu hawakushilikishwa katika kutenga eneo la biashara kutokana na
sanjari na mazingira ya eno hilo kutokuwa rafiki kwa biashara zao hususani
wateja.
Naye
Mkurugenzi Mtendaji wa halimashauri manispaa ya Mpanda Bw.Michael Nzyungu
amesema Zoezi la kuhamisha mnada huo
lipopalepale na tayari maafisa wa ardhi wanaendelea na zoezi la ugawaji wa
maeneo kwa wafanya biashara hao katika eneo la misunkumilo mkwaajili ya
shughuli za kibiashara.
Halimashauri
ya Manispaa ya Mpanda ilitenga eneo la misunkumilo kwa jili ya wafanya bishara
na wajasiliamali kufanya shughulizao.
Chanzo:Paul
Mathias
No comments:
Post a Comment