Wakati
wananchi mkoani Katavi wakifurahia kupungua kwa bei ya Mchele tangu kuanza kwa
msimu wa mavuno hali hiyo imekuwa tafauti kwa wafanyabiashara ambao
wanalalamikia anguko la mitaji.
Wakizungumza
kwa nyakati tofauti wamesema mchele
ulipanda bei kwa mwaka jana kutokana na
kutoka nje ya mikoa ikiwemo kutonyesha kwa mvua za kutosha ambapo ilipelekea
kilo moja kuuzwa kwa shilingi 2200.
Hali hii
inawafanya wakulima kupata hasara kutokana na
uendeshwaji kuwa ngumu mfano kukosa pembejeo za kilimo kwa mwaka jana
kuliko tokana na madai ya serikali kuchelewa kusambaza pembejeo hizo kwa
wakulima.
Kwa sasa
bei ya kilo moja ya mchele ni shilingi 900 Mpaka 700 ambapo inabashiriwa kuwa
huenda ikashuka zaidi.
No comments:
Post a Comment