Waislamu mkoani Katavi
wameaswa kudumisha ibada ndani ya mwezi
mtukufu wa radhani kwa Uadilifu uaminifu na unyenyekevu.
Amani Rajabu Athuman ni
katibu wa baraza la waislamu mkoani katavi amesema mwezi mtukufu wa ramadhani unazidisha malipo
mara dufu kama mwislamu atatimiza ibaada.
Ibada ya
funga ni ibada kwa watu wenye afya ambao wanatakiwa kushinda bila ya kula na
Watu wanaoruhusiwa kula mchana katika mwezi wa Ramadhani ni watoto, wanawake wajawazito,
wagonjwa na wanawake ambao wamo katika mzunguko wa hedhi.
Leo ni Ramadhani ya 17
tangu kuanza kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.
CHANZO:HARUNA JUMA
No comments:
Post a Comment