Thursday, 21 September 2017

Polisi yaonya kufanyika kwa maandamano Alhamisi hii nchini Uganda


mediaMaandamano makubwa yanatazamiwa kufanyika nchini Uganda.Polisi nchini Uganda imepiga marufuku mpango wa kufanyika maandamano hii leo siku ya Alhamisi ambapo wabunge wanakutana kujadili mswada ambao unapendekeza kuondolewa miaka ya kuwania urais nchini humo.
Wapinzani wamesema wataandamana kupinga, jaribio lolote la kutaka kupitishwa kwa mswada huo, Polisi wamepiga marufuku mpango wa kufanyika maandamano ambapo
Wabunge wa chama tawala Cha NRM wao wamekubaliana kuhusu mipango ya kuondoa kikomo cha umri wa urais.
Ikiwa watafaulu katika kikao cha hivi leo, ina maana kwamba mswada huo utamwezesha Rais Yoweri Museveni ambaye anaaminika kuwa mwenye umri wa miaka 73, kuwania tena uchaguzi wa mwaka 2021.

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...