Friday, 24 November 2017

Balozi wa Angola nchini Tanzania amemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Jose Eduardo dos Santos kushtakiwa


Jose Eduardo dos Santos


Balozi wa Angola nchini Tanzania amemtaka rais wa zamani wa taifa hilo Jose Eduardo dos Santos kushtakiwa kwa madai ya uhalifu aliyotekeleza wakati wa utawala wake wa miaka 38.

Ambrosio Lukoki amesema kuwa bwana dos Santos anafaa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha MPLA kwa kuwa alikuwa anatumia wadhfa wake huo kuzuia kushtakiwa.

Rais mpya wa Angola Joao Lourenco hivi majuzi aliwafuta kazi wakuu wa polisi na vitengo vya ujasusi ,hatua iliokiuka sheria kwamba hatofanya hivyo kwa kipindi cha miaka minane.

SOURCES: MUUNGWANA BLOG

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...