Thursday, 9 November 2017
Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, imemhukumu Lazaro Ngomalala kifungo cha maisha kwa kosa la kumbaka mwanafunzi
MPANDA
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda
mkoani Katavi, imemhukumu Lazaro Ngomalala (50), mkazi wa Kijiji
cha Sibwesa wilaya ya Tanganyika kifungo cha maisha kwa kosa la kumbaka
mwanafunzi wa darasa la pili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...

No comments:
Post a Comment