Thursday, 9 November 2017
Tanesco mkoa wa Kilimanjaro limeendesha mafunzo kwa wanafunzi wa shule za sekondari.
KILIMANJARO
Shirika la umeme Tanesco mkoa wa Kilimanjaro
limeendesha mafunzo kwa wanafunzi wa shule za sekondari na msingi ikiwemo kuhamasisha
kusoma somo la sayansi ilikupata wataalam bora wa ufundi wa umeme.
Kwa upande wa wanafunzi waliopata mafunzo
hayo wamesema wamejifunza mambo mengi yakusaidia katika maisha yao ya kila leo
pia kujifunza mfumo wa uzalishaji na usafirishaji wa umeme kutoka kiwandani
hadi kumfikia mteja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
TABORA Wananchi wa kijiji cha makibo kata ya Nyahua wilayani sikonge mkoani Tabora wamelalamikia ujenzi wa madaraja mabovu ya baraba...

No comments:
Post a Comment