Friday, 10 November 2017
Serikali imeziagiza halmashauri nchini kuanza kuchukua hatua kwa watendaji walio husika kugawa maeneo ya makazi kwa wananchi kiholela.
DODOMA
Serikali imeziagiza halmashauri
nchini kuanza kuchukua hatua kwa watendaji walio husika kugawa maeneo ya makazi
kwa wananchi kiholela.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni
na Naibu Waziri wa ardhi nyumba na Makazi Anjerina Mabula alipokuwa akijibu
maswali yaliyo ulizwa na baadhi ya wabunge walio taka kujua kwanini serikali
inaadhibu wananchi kwa kubomoa makazi yao na kuwaacha watendaji walio
idhinisha.
Ameongeza kusema kuwa hatua
zinachukuliwa na serikali kuhakikisha hakuna uonevu dhidi ya wananchi.
Nisiku ya tatu tangu mkutano wa tisa wa bunge la
jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuanza kwake mjini Dodoma.
Chanzo: TBC1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Imeandikwa na. Prosper Kwigize, Kasulu, Kigoma Sisi vijana wenye vipaji tupo wengi sana vijijini, elimu yetu ni ya darasa la saba laki...
No comments:
Post a Comment