Wananchi mkoani Katavi wameshauriwa kujiunga na asasi mbalimbali
Na Ester
Baraka
Wananchi
mkoani Katavi wameshauriwa kujiunga na asasi mbalimbali za kimaendeleo ili
kujikwamua kiuchumi
Wito
huo umetolewa na Emiliana Stanslaus, mkufunzi wa asasi isiyo ya kiserikali ya
Tanzania Girl Guides Association wakati wa uzinduzi wa kampeni maalum ya U Report kwa ajili ya kutoa taarifa mbalimbali kwa njia ya ujumbe mfupi
Kwa
upande wake mgeni rasmi katika hafla hiyo Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoani
KataviBi Anna Shumbi amewataka wananchi
kutumia fursa hiyo ili waweze kuandaa maisha yao ya baadae kulingana na dhima
ya chama ya kuwainua kiuchumi
Tanzania
Girl Guides Association imelenga kuwaendeleza wasichana na wanawakekatika masualambalimbali ya kijamii na kiuchumi
No comments:
Post a Comment