Rais
wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti
cha China (CPC) amesema pendekezo la kujenga jamii yenye mustakabali wa pamoja
kwa binadamu inabadilishwa kutoka wazo na kuwa vitendo kamili.
Rais
Xi amesema hayo wakati akitoa hotuba kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa
Ngazi ya Juu wa Majadiliano ya CPC na Vyama vya Siasa Duniani ambao umefanyika Beijing.
Aidha
amesema anafurahi kuona ushirikiano wa kirafiki kati ya China na nchi nyingine
unaendelea kupanuka na dhana ya jamii yenye mustakabali wa pamoja inaungwa
mkono zaidi.
No comments:
Post a Comment