Friday, 5 January 2018
Mamlaka ya Mapato nchini TRA, leo imefanya mnada wa magari ambayo wamiliki wake wameshindwa kuyalipia ushuru na ambayo yameegeshwa katika bandari ya Dar es Salaam.
DAR ES SALAAM
Mnada
huo umefanyika kama hatua ya kuhakikisha serikali inakusanya mapato kutoka kwa
waagizaji wa magari hayo ambayo baadhi yake yamekaa bandarini hapo kwa muda
mrefu zaidi ya ule unaokubalika kisheria.
Kamishna
Mkuu wa TRA Bw. Charles Edward Kichere amesema katika mnada wa leo takribani
magari 134 yamenadiwa na baadhi yake kununuliwa huku akiridhishwa na idadi ya
umati wa watu waliojitokeza kununua magari hayo.
Chanzo: Mwananchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Imeandikwa na. Prosper Kwigize, Kasulu, Kigoma Sisi vijana wenye vipaji tupo wengi sana vijijini, elimu yetu ni ya darasa la saba laki...
No comments:
Post a Comment