Tuesday, 16 January 2018
Shule ya Msingi Kivukoni iliyopo katika kata ya Shanwe Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi inakabiliwa na upungufu wa vyumba vya Madarasa pamoja na vyoo vya kutosha katika shule hiyo.
MPANDA
Shule ya Msingi Kivukoni iliyopo
katika kata ya Shanwe Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi inakabiliwa na upungufu
wa vyumba vya Madarasa pamoja na vyoo vya kutosha katika shule hiyo.
Kwa upande wa
Mwalimu wa taaluma katika shule hiyo Aminael Mwanga amekili kuwepo kwa tatizo
hilo huku akiziomba mamlaka kuingilia kati.
Shule ya Msingi Kivukoni ina
zaidi ya wanafunzi 1400 mpaka sasa.
Chanzo:Paul Matius
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
Kabale, Uganda. Mpinzani mkuu wa Uganda na kiongozi wa Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa. ...
-
KATAVI Shule ya msingi Misunkumilo iliyopo Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa na madawati...
-
KIGOMA . VITUO vya afya Uvinza na Nguruka vilivyopo wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo yaup...
No comments:
Post a Comment