Tuesday, 6 February 2018

Katika kuelekea uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Katavi Kamati ya ulinzi ya usalama barabarani inapanga kutoa elimu ya usalama barabarani kwa madereva pamoja na wananchi.

KATAVI

Katika kuelekea uzinduzi  wa  wiki ya nenda kwa  usalama mkoa wa Katavi Kamati ya ulinzi ya usalama barabarani  inapanga kutoa elimu ya usalama barabarani kwa madereva pamoja na wananchi.

Mwenyekiti wa chama cha madereva piki piki  mkoa wa Katavi Stefano Asalile Mwakabafu ameeleza kuwa mafunzo ya papo kwa papo yatatolewa na jopo la Kamati ya Usalama barabarani mkoa wa Katavi ambapo uzinduzi wake unatalaji  kuanza alhamisi wiki hii na kilele chake ikiwa ni Ijumaa.

Katika hatua nyingine ameeleza kuwa Uzinduzi huo utaenda sambamba shabaha ya kitaifa ambayo ni kupunguza ajari za barabarani.

Kauli Mbiu ya Wiki ya Nenda kwa usalama ni Tii  Sheria Ukoa Maisha Kataa Rushwa.

Chanzo:Mpanda Radio 

#Changia Damu Okoa Taifa

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...