Saturday, 17 February 2018

Matinga amewataka waandishi wa habari kutumia weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu kaya masikin TASAF awamu ya kwanza.


MPANDA

Mkuu wa wilaya ya Mpanda mkoani katavi Mheshimiwa LILIAN Chalres Matinga amewataka waandishi wa habari kutumia weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu kaya masikin TASAF awamu ya kwanza.

Matinga Amefafanua Kuwa Uwepo Wa Miradi ya Tasaf umesaidia kuleta maendeleo katika  kaya masikin na kuzifanya ziondokane na mfumo tegemezi.

Naye mtaalamu wa mawasilino wa tasaf Zuhura mdugi ameelezea malengo ya mpango wa kunusuru kaya masikini kuwa ni kuzijengea uwezo  pamoja na jamii bila utegemzi

Mkoa wa katavi una bikini 177 vinavtotekeleza mpango wa tasaf.

Chanzo:Mpanda Radio 

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...