Sunday, 11 February 2018

Siku ya wapendanao ni siku ya kudhihirisha mapendo.

Siku ya wapendanao ni siku ya kudhihirisha mapendo.  



*MPANDA RADIO FM*
Sauti ya katavi inadhihirisha upendo kwa wanakatavi na Tanzania kwa ujumla Tarehe 14 siku ya wapendanao kutakuwa na zoezi la kujitolea damu kwa hiari katika Uwanja wa Shule ya msingi Kashato. zoezi litaanza mida ya Saa 2 kamili asubuhi.Tunaamini damu ya binadamu haipatikani mahala popote isipokuwa kwa binadamu mwingine. Wanakatavi na Radio yetu Lugha yetu ni moja tu.

*CHANGIA DAMU OKOA TAIFA*

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...