KATAVI
Waumini
wa dini ya kikrsto mkoani Katavi wameaswa kusherekea sikukuu ya pasaka kwa
kumcha mwenyezi Mungu na si kwa kufanya matukio ya kuvunja amani ya nchi.
Mchungaji
wa kanisa la Pentecoste Tanzania Dotto Gliady Eliazeri amezungumza na mpanda
redio kuelekea maadhimisho ya sikukuu hiyo na kusema kuwa ipo kwajili ya
kumbukumbu ya kifo cha Yesu Kristo.
Mchungaji
dotto amesema dunia ikiwa na watu wenye hofu ya mungu matukio ya kiharifu
yatapungua hivyo watumie kipindi hiki kuliombea amani taifa
Pasaka
ya Kikristo ni sikukuu ya kufanya ukumbusho wa kufufuka kwake Yesu Kristo siku
ya tatu baada ya kusulubiwa, kufa na kuzikwa kwake.
Chanzo:Ester Baraka
No comments:
Post a Comment