Tuesday, 3 April 2018

“UJENZI WA BARABARA NCHINI UTASAIDIA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA”-KAKOSO


Mwenyekiti wa kamati ya Miundombinu Bungeni  Ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda vijijin Mkoani Katavi Suleimani Kakoso, amesema ujenzi wa barabara nchini utasaidia kukuza uchumi wa taifa.

Katika mahojiano yaliyo fanywa kawa njia ya simu Kakoso amebainisha kuwa tayari bajeti ya kutengeneza barabara hizo imetengwa na kwamba wakandarasi wamelipwa kwaajili ya kazi hiyo.

Amefafanua kuwa  mpango wa serikali ni kuboresha barabara hizo zenye mikakati ya kiuchumi ambazo hali yake si rafiki kuelekea uchumi wa kati.

Leo bunge la bajeti limeanza mjini Dodoma likijikita katika kujadili mwelekeo wa bajeti ya taifa .

Chanzo:Allinanuswe Edward

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...