Wazazi na walezi Mkoa wa
Katavi wametakiwa kushirikiana seriakali
kutokomeza tatizo la mimba za utotoni.
Hayo yamesemwa na Mwalimu Victa Lutajumlo wa Idara ya elimu
msingi katika kongamano la mafunzo kwa wanafunzi wa msingi na sekondari
lililolenga kutoa elimu ya kujikinga na mimba za utotoni.
Mmoja kati ya wa wanafuzi walio
hudhuria kongamano hilo amesema mafunzo hayo yatawabadisha kifikra na
kujiepusha na vitendo hatarishi vinavyo pelekea kuongezaka kwa tatizo hilo
mkoani Katavi.
Kwa mujibu wa wizara ya afya
nchini Mkoa wa katavi unaongoza kwa mimba za utotoni kwa kiwango cha asilimia
45
Chanzo:Furaha
Kimondo
No comments:
Post a Comment