Wakazi wa kijiji cha Ilebula wilayani Tanganyika mkoani Katavi wanakwama
kufanya shughuli za maendeleo kutokana na ubovu wa miundombinu.
Wamebainisha hayo wakati Wakizungumza na Mpanda Redio na kusema wamekuwa wakiahidiwa na viongozi mbalimabli
juu ya uboreshaji wa miundombinu ambapo mpaka sasa adha hiyo inaendelea.
Mbunge wa Mapanda Vijijini Suleiman Kakoso amesema
serikali inaendelea na jitihada za kuboreshsa miundombinu ambapo kuna
matengenezo ya barabara yanafanyika kutoka Kalilankulunkulu kwenda Kampanga na
barabara hiyo itapita katika kijiji cha Ilebula.
Ubovu wa miundombinu mkoani katavi ni moja kati
chamgamoto zinazosababisha kuzorota kwa uchumi
Itakumbukwa kuwa April 14 mwaka huu mkuu wa mkoa wa
Katavi Meja Jenerali Msataafu Raphael Muhuga alitangaza kufungwa kwa barabara
ya Mpanda-Tabora kutokana na barabara kujaa maji
CHANZO:Ester Baraka
No comments:
Post a Comment