Mpango wa Serikali
kusaidia Shule za Msingi kutoa Ruzuku zimekuwa zikisaidia kuendelea kutoa
mchango mkubwa katika elimu.
Hayo yamebainishwa na
baadhi ya Walimu wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi kuwa serikali imekuwa ikisaidia
elimu ya shule za msingi kutoa ruzuku kwa wakati.
Aidha wamesema changamoto
ya madarasa pamoja na upungufu wa walimu imekuwa inawapa ugumu kujifunza kwa wanafunzi na kuomba wazazi washikilikishwe katika suala
la kuchangia michango ya ujenzi.
Sera ya Elimu na
Mafunzo ya mwaka 2014 inasema kuwa
serikali itahakikisha Elimu ya msingi inakuwa ya lazima na ya bure kwenye shule
za umma kwa kuzipatia ruzuku za kuziwezesha ili kutoa elimu bora.
CHANZO:Johar Secky
No comments:
Post a Comment