Wakulima
wa zao la tumbaku Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wametakiwa kuzingatia sera ya
kata mti panda mti ili waweze kuepukana na tatizo la uharibifu wa mazingira.
Akizungumza
na mpanda radio kaimu meneja wa chama cha wakulima wa tumbaku mpanda kati
Marietha John amesema kila mwaka wakulima
kabla ya kulima zao hilo lazima aonyeshe miti aliopanda.
Mwenyekiti
wa chama hicho Sospita Silivatory ameiomba selikali kutenga eneo kwaajili
ya wafugaji ili kuepusha mifugo hiyo
kuharibu miti walio panda wakulima hao.
Kuelekea
wiki ya maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo hufanyika kila mwaka
jun 5 na kaulimbiu ya mwaka huu ikiwa ni mkaa gharama tumia nishati mbadala
Chanzo: Neema Husein
No comments:
Post a Comment