Baadhi ya Wasafiri na wafanyabiasha wanaotegemea huduma ya choo stendi kuu ya mabasi yaendayo mkoani Wilayani Mpanda Mkoani Katavi wamelalamikia ukosefu wa huduma ya choo ya uhakika na hivyo kuhofia kukumbwa na magonjwa ya mlipuko.
Hayo yamebainishwa leo na wadau wa stendi hiyo wakizungumza na Mpanda Radio kuhusu hali ya usafi wa choo uliopo stendi kuu.
Baadhi ya Wadua wa stendi kuu ya mabasi ya mpanda wamesema “kero zipo kwani kuna watu wanahitaji huduma ya choo, wasafiri wanaotoka mbali na kuhitaji kutumia huduma ya choo lakini hawaipati pia watoaji huduma ya choo wanaogopa kutoa huduma ya choo kwani kitaletashida kitafungwa tena.
Pia walisema mazingira hayo sio mazuri sana pia wamewaomba watoa huduma waweze kurekebishiwa ili kusaidia wasafiri kutumia huduma ya choo.”
Naye diwani wa kata ya Kashaulili Mh.John Matongo kawataka wadau kuwa wavumilivu wakati tatizo likipatiwa ufumbuzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured post
MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO
Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio ...
-
NSIMBO Soko la Katumba Mnyaki linalomilikiwa na halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi halina choo tangu kuanzishwa kwake hali...
-
MLELE Shule ya msingi kusa iliyopo katika kijiji cha Kanoge kata ya utende Halmashauri ya wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi inatalajia k...
-
Mahindi MAHINDI yanaendelea kuwadodea wakulima mkoani Rukwa baada ya wafanyabiashara na watu binafsi kuchangamkia mahindi kut...
No comments:
Post a Comment