Monday, 27 November 2017

Mamlaka ya mawasilian Tanzania (TCRA)imewatakaWananchi mkoani katavi kusajiri laini zao za simu ili kuweza kuepukana na matatizo yanayoweza kutokea kwa kutojisajili.


Walter Bariki



Na Rebecca Kija.

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)imewatakaWananchi mkoani katavi kusajiri laini zao za simu ili kuweza kuepukana na matatizo yanayoweza kutokea kwa kutojisajili.

Hayo yamesemwa na  afisa wa utumiaji huduma na bidhaa za mawasiliano kutoka makao makuu Dar – es salaam Walter Bariki wakati akizungumza na mpanda Redio.

Amesema wananchi lazima wafuate sheria zilizowekwa za kusajili laini zao ili kukomesha uhalifu wa kimitandao unaoweza kufanywa na baadhi ya watu.

Hata hivyo amewaomba wananchi kujenga tabia ya kuhakiki usajili wao ili kama haujakamilika waende kwenye ofisi husika kwa lengo la kukamilisha

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...