Utafiti wa shirika lisilo la kiserikali la Twaweza umebaini kuwa Idara za Polisi na Mahakama bado zinaongoza kwa rushwa, licha ya kuwa ni taasisi zinazohudumia idadi kubwa ya watu.
Hayo yamebainishwa kwenye uzinduzi wa ripoti ya utafiti huo iliyopewa jina "Hawashikiki" uliofanyika Jana jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau kutoka sekta za umma na kibinafsi.
Hata hivyo Mkurugenzi wa Utetezi wa Twaweza Bi. , Anastazia Lugaba, amesema kuwa wananchi walitoa rushwa ili kupata huduma ya uhakika katika sekta hizo lakini kwa sauti za wananchi zinazoonesha matumaini katika mapambano dhidi ya rushwa.
SOURCES:EATV.
No comments:
Post a Comment