Friday, 12 January 2018

Eneo la Lalibela katika Ethiopia ya Kaskazini linatajwa kuwa nyumba ya makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalifunikwa mwishoni mwa karne ya 12.


ADIS ABABA

Eneo la Lalibela katika Ethiopia ya Kaskazini linatajwa kuwa nyumba ya makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalifunikwa mwishoni mwa karne ya 12.

Makanisa hayo yaliagizwa na mfalme Lalibela ambaye alitaka kujenga Yerusalemu mpya kwa wasomi wake.

Wanahistoria wengi waliamini kwamba sanaa ya kuchonga makanisa ilikwisha zaidi ya miaka 500 iliyopita. Lakini hata leo, uvumbuzi mpya wa makanisa hayo unaendelea.

Prof Michael Gervers ni mhadhiri wa Historia katika Chuo kikuu cha Toronto nchini Canada na amekuwa akifanya utafiti wa makanisa yaliyochongwa kutoka kwa mawe kwa zaidi ya miaka thelathini.

Na anasema watafiti wengi wanakubali kwamba taaluma hii ya kujenga makanisa ya miamba ilikiwisha mwishoni mwa karne ya 15.


Chanzo: CRI

No comments:

Featured post

MASIKINI WEEE!!!!! KICHANGA CHA SIKU MOJA CHAOKOTWA KATIKA KIWANJA CHA MPIRA AZIMIO

Na;Ezelina Yuda Mtoto mchanga mwenye jinsia ya Kike anayekadiriwa kuwa wa siku 1 ameokotwa akiwa hai kandokando ya uwanja wa azimio  ...