Wakulima mkoani Katavi
wameshauriwa kulima kilimo kinazichozingatia utalaamu wa kilimo hali itakayo
saidia kuhifadhi ardhi yenye rutuba.
Ushauri huo umetolewa
na mtaalamu wa kilimo Ramadhani Athumani wakati akizungumza na mpanda redio kwa
njia ya simu kuhusu namna bora ya kutunza ardhi kwajili nya kilimo.
Kwa upande wa baadhi ya
wakulima mkoani Katavi wamesema wengi hushindwa kuzingatia kilimo bora kutokana
na ukosefu wa elimu kutoka kwa watalaamu hao na kuwaomba kutoa elimu Zaidi
kwajili kuendelea kuhifadhi ardhi
inayotegemewa na watanzania wengi.
Kwa takriban miaka 1960 nchi imekuwa
ikijinasibu na uchumi unaotegemea kilimo ambapo zaidi ya asilimia 70 ya wananchi wanajihusisha
na kilimo au biashara inayotokana na kilimo.
No comments:
Post a Comment